Wanawake mnatakiwa kutafakari kwa kila maamuzi unayochukua kwani wakati mwingine huweza kuyajutia.

hahahahaaa mbavu zangu mie..Billie hii njia yako doesn't work to every woman,hii ukinifanyia mie ndo umejiharibia kwa kweli looh mitusi mie hell no!

Hivi unajua kama wanawake wengi wa bongo wanapenda kufokewa na wapenzi zao?
Karaga bao we jifanye kiburi kama wakina Jinifer lopez wakizinguliwa kidogo wanadai kuachana wanzungu wanaweza hayo mambo kwa kuwa hawana njaa unalijua jilo?
 
duh polen sana bt mapenz ni ubunif c kucopy na kupaste ka mlivyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…