Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu zangu habari za wakati huu
Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile.
Umekaa umetulia zako ghafla simu inaingia namba ngeni sauti halisi ya mwanamke haieleweki anaibuka tuu na kusema baby wangu unaendeleaje na story za hapa na pale na vimaswali vya mtego unaanza kupata kigugumizi. Unaisikiliza simu tuu kimnya anaanza kukuambia baby umenisahau au una ma-baby wengi unabaki kimya na anakata simu kwa hasira..
Ni kweli wanaume tunawapenda ila huu mtego mnaotuwekea mnatukosea sana, mwanamke umepiga na namba mpya piga basi kwa sauti yako tuliyoizoea siyo unaweka magic voice au jitambulishe kabisa.
Mimi haya mazingira yananiwia ugumu kabisa ndugu zangu hebu nyie mnachomokaje hapa.