Wanawake mnawachukuliaje nyoka mkiwaona?

Wanawake mnawachukuliaje nyoka mkiwaona?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,033
Za asubuhi wapendwa.
Naomba kuwauliza nyie wanawake mnamchukuliaje nyoka mkimwona kwenye picha au kukutana nae live?
 
Nyoka wepi hao unaowazungumzia?
Au ni wale nyoka wanaosimama baada ya kuliona shimo?
 
Kuna kinyonga nacho wanaogopa sana mimi huwaga nawashikaga hawanaga neno
 
Nyoka, mjusi,kinyonga,jongoo. Nidai chochote lakini sio kunikutanisha na hawa viumbe. Siwapendiii
 
Back
Top Bottom