Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ukiona hivyo ujue nyota ya kuoa imehamia kwakoIla hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..
Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue nyota ya kuoa imehamia kwakoIla hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..
Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
Hao wanaounguza mboga wana kanyota ka umbea. Anaacha kitu jikoni anahamia JF chit chat kusutana na kina Mzigua90Kuna vitu vingine sio lazima muelewe tuachieni wenyewe na ninyi mnaolalamika mboga kuungua oeni la sivyo mtakula mikaa maisha yenu yote shwain
Sasa unakarangiza kitu cha maini unasubiria mpaka kiungue? Kweli?Haha mimi simo
Bado bana Babu, ujana mtamu sanaUkiona hivyo ujue nyota ya kuoa imehamia kwako
Basi endelea kuunguza makande kwa wingi mpaka upate kansa ya utumboBado bana Babu, ujana mtamu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku moja nilikuwa nachemsha chai kwenye jiko la gesi, bahati mbaya nikasahau kuwa ndani sukari imekwisha, nikatoka mbio kuelekea dukani. Ile narudi jikoni na maji yote yalishakauka kwenye sufuria [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
hahahahahaaaMuda mwengine unamkuta kajifunga kanga tu Lakini hata afanyaje hauwezi anguka:anaweza akakimbia nayo,akalima nayo.............
ndo maana wakaitwa wanawake ndio natureUnaweza kuta ameacha mboga jikoni akaenda
Kuoga,kusalimia majirani,au kuchezea simu na akirudi mboga haijaungua
Au
Muda mwengine unamkuta kajifunga kanga tu Lakini hata afanyaje hauwezi anguka:anaweza akakimbia nayo,akalima nayo.............
Ila haianguki,Naomba tueleweshane hivi vitu.
Inaanguka mkiamua
Madogo niliowaacha preform 1 wako vyuoni
[emoji23][emoji23][emoji23]Waanzw kujibu la mboga kwanza..
Leo nimeinguza mboga sababu nimeenda kubadiri wimbo kwenye radio ile narudi nakuta moshi mwingi juu kwenye paa..
Kucheki jikoni mboga hazitamaniki.
Kwa hasira nikazila hivyo hivyo
Aisee[emoji23][emoji23]Yan mm kama napika mboga za mm mwenyewe nachsnganya kila kitu chini mpaka chumvi, nikifunua ni kula tu.
Mambo ya sijui kitangulie hiki au hiki siwez mana chakwanza kitaungulia tu.
😂😂😂Yan mm kama napika mboga za mm mwenyewe nachsnganya kila kitu chini mpaka chumvi, nikifunua ni kula tu.
Mambo ya sijui kitangulie hiki au hiki siwez mana chakwanza kitaungulia tu.
Nashukuruni kwa michango yenu
Siku moja nilikuwa nachemsha chai kwenye jiko la gesi, bahati mbaya nikasahau kuwa ndani sukari imekwisha, nikatoka mbio kuelekea dukani. Ile narudi jikoni na maji yote yalishakauka kwenye sufuria [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]