Wanawake mnawezaje kuacha mboga kwa muda mrefu jikoni na bado ukirudi unakuta haijaungua?

Ila hapo kwenye mboga na mimi nahitaji jibu aisee..

Mimi nikiweka tu jikoni halafu niende kusuuza sufuria, nikirudi nakuta ishaungua..
Ukiona hivyo ujue nyota ya kuoa imehamia kwako
 
Kuna vitu vingine sio lazima muelewe tuachieni wenyewe na ninyi mnaolalamika mboga kuungua oeni la sivyo mtakula mikaa maisha yenu yote shwain
Hao wanaounguza mboga wana kanyota ka umbea. Anaacha kitu jikoni anahamia JF chit chat kusutana na kina Mzigua90

Sisi wakongwe kitu kikishaanza kuchemka tu tunaanza kukihamishia mdomoni. Mpaka kiive chote kinakuwa kishatia kambi tumboni
 
Siku moja nilikuwa nachemsha chai kwenye jiko la gesi, bahati mbaya nikasahau kuwa ndani sukari imekwisha, nikatoka mbio kuelekea dukani. Ile narudi jikoni na maji yote yalishakauka kwenye sufuria [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo mengine ni siri yao tuwachie,.

Uliishakuta mdada yeye anakata vitunguu bila shida, sasa kakate wewe uone machozi kama unavuta ganja.

Mdada anandoo ya maji kichwani hajaishika na hainguki, kabebe wewe halafu uone isipoanguka basi itafika na maji nusu.

Ongeza na hayo uliyoyasema, ndio yanamfanya aitwe msaidizi wa mwanaume. Msaidizi maana yake anaweza kufanya yale usiyoyaweza au unayopata taabu kuyafanya.
 
ndo maana wakaitwa wanawake ndio nature
 
Ilinikuta hii siku moja. Nimeacha maji ya chai jikoni nikanunue vitafunwa. Nakuta hamna kitu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…