...do you get any interference from your extended family? Cause that party of relationship is more flagile than ever. Has to handled with extra care. How do you deal with them, and how does she deal with them as well?i too dont touch her phone but sometimes when it goes on she used to tell me 'honey, could you plz help me to attend that call' ofcoz i do!
our frnds lives are ok ok. i cant go too deep on their live coz i dont know much but we do share our familiy feelings whenever needed!
No one is perfect but we are trying our best.
...cause it is hers.why dont you touch her phone? vipi ukikuta msg ya jamaa ktk simu ya mkeo kwamba jamaa alikuwa anamtokea? utafanyaje?
Swali: m/mke mwenye mvuto ni lazima atakumbana na waroho watakao mtongoza! Je, mkeo/mpenzi wako ameshakuelezea visa vingapi vya kutongozwa?
kama bado hajakwambia basi jua mahusiano yenu yako 50-50, anaweza kugawa kirahisi! trust me!
well answered! keep it up!...cause it is hers.
leo ni mapumziko ya kifamilia tu! ila unaweza uja lkn ukae meza tofauti na yetu plz!
Kwa hiyo ukitaka kuchumbia demu lazima kwanza akapekuliwe na shangazi? Sasa huyo atakuwa mkeo au wa shangaziyo? Na hapo kumbuka unaweka fursa ya shangazi kukuchagulia mke apendaye yeye, ukimpenda sana demu ambaye shangazi hamtaki unaletewa ripoti ya upekuzi inasema ana mapembe kinenani!
well,...do you get any interference from your extended family? Cause that party of relationship is more flagile than ever. Has to handled with extra care. How do you deal with them, and how does she deal with them as well?
Mtu B unavituko kweli!
eti ana mapembe! hehehehehehe!, shangazi ndiyo kazi zao! kumbuka mke ukioa bila kummega kwanza anakuwa mtamu sana! Imagine ndiyo umefunga ndoa hivi utakuwa na hamu kweli? kama kummega umeshamega mara 300 na zaidi, utathubutu kweli kuhemea honey moon yako?
hehehehehehe!Hahahahaha poa hebu niPM ili nije angalau salamu tu yatosha.
uombe tu awe bikra, tena si ya kichina. La sivyo uvumilivu wako wa bure. Bibi harusi utakuta alimegwa siku moja kabla ya harusi
there is more to sex/r-ships that just 'kupona-penetration'nashangaa hao wanaosubiria mashangazi. Pape u r a man of yourself. Yaani shangazi aone pale unapoponea?
Unless huyo mamaa pia ni member hapa na anaifuatilia hii thread, vinginevyo panaweza kuchimbika au ukatafutiwa msaidizi fasta
Pape, uko bingwa, hongera sana. Naona umelitawala jukwaa la mjadala huu bila utani. Na ndoa haikukondeshi. Pongezi mkuu. Mungu akubarikipamoja na darling wako.
hehehehehehe!mamaa atakuwa anafuatilia ndo maana jamaa leo anaandika kimaadili zaidi
hehehehehehe!
mkuu, thats my life style! everyday is a new day! a happy day!the guy must be happy today
siku hizi umeacha kujiexpress?Hehehehe lol haya bana naona waniogopa au maswala ya kujiexpress?
What iff that pressure is severe and neither you nor her can persevere? What iff someone from her famly is gettin on your nerves so often and that your spouse seems to support the scenario? and vice versa. Don't say that your have married an angel!well,
there is too much pressure from the extended family. But I thank God coz we usually talk! I believe in the power of tounge! everthing is settled down in time! Polite words cures everything! It acts like medicines! I dont decide things myself. We have to decide as a family! Its so sweet!
siku hizi umeacha kujiexpress?
good luck kaka!Nimepata mlokole ndo mchumba' angu karibia natangaza ndoa nipo kwenye mchakato.
I thank God for my wife! Our family is ok! We dont get too much pressure. But sometimes happens. I know that I ma tempered! hehehe. But I wanna share a secret! When I am angry, annoyed, or tempered; I normally walk out for a moment. I dont talk! coz i know if I speak angrily before my wife and kids is not good! Sometimes anger can lead to sin! So, I do go out! Hehehe, I do play music! I play keyboard, guitar! It helps me lose tamper and when I am back to normal then I will discuss the issue!What iff that pressure is severe and neither you nor her can persevere? What iff someone from her famly is gettin on your nerves so often and that your spouse seems to support the scenario? and vice versa. Don't say that your have married an angel!