Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
good luck kaka!
Mchango utatoa wewe maana bado una fikra potofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
good luck kaka!
Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho zaidi. Ndipo ninaporudia kauli yangu kuwa uislam uliona mbali kuruhusu mitala.
well,...and when she is angered, what does she do? sing?
hehehehe, when will that be?Mchango utatoa wewe maana bado una fikra potofu
hehehehe, when will that be?
why are you reacting this way? what wrong have I done to deserve all this? anyway, kuvuja kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi!Na imani huwezi toa wewe wapo watakao toa wenye mioyo safi.
why are you reacting this way? what wrong have I done to deserve all this? anyway, kuvuja kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi!
Naona unanirushia stimu! Bora nitokomee sasa! You've pissed me off! Kha!
I don't care! Wait and see!Naona bora ujipotezee na familia mm naendelea kula vitu hapa taratiiiiiiibu.
I don't care! Wait and see!
"Mume wangu ananipenda sana".
its nice to hear from you! keep it up!Pape your so great, ubarikiwe sana.unaonekana ni mwenye hekima na busara, laiti ungewagawia wote basi tungefika mbali sana. "Mume wangu ananipenda sana" hao wanaotoka nje na kudai wake zao wabaya basi ni wao ndo wanawafuja.mtengeneze mkeo, hawaogopi ukimwi? hata hao wenye wake wengi bado hawaridhiki nao pia.
LoL! Kingi Ameanzisha Mada Pape Kaiteka na Kuitawala
zishinde tamaa za mwili wako ubarikiwe na bwana,amen
Wapo watu wanaopenda bila tamaa! Kuna watu wanajua kupenda Kingi usifanye mchezo! Zishinde tamaa zako! Ukiweka tambaa mbele basi ukionja tu utakula kona!bila tamaa huwezi kupenda, sema tu isipitilize
Kingi, thanks for this thread! Im almost done! I have shared enough!
Hehehehe,nadhani sasa mamsap anakaribia kubast. Haya mwayego mtulize
...and when she is angered, what does she do? sing?
Ndege wa aina moja huruka kwa bawa moja. Huo ni mtizamo wako na hao rafiki zako. Elewa kuwa kuoa ni zaidi ya hivyo unavyofikiria ... yaani vipusa. Na unapoelekea katika hatua hiyo anza kubaldilisha mtizamo kutoka huo mlionao kwenda kwenye maisha halisi. Vinginevyo utaoa wanawake wote duniani
nimeshajibu hilo swali mkuu!hapo sasa