Uongo mtupuuuMbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika
Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi
Umeona sura zao hazina nuru kabisa!Familia yote kuanzia baba, wake zake na watoto wote nyuso zao hazina nuru kabisa. Haya maisha wala siwezi kuya intertain hata siku moja
Mbona umempa credit nyingi yaani 3 ndiyo wake mmoja mmoja kwa kila mke, yeye kazi yake ni kutunza tu.Wanawake walivyo waajabu,
Hapo usikute watoto 10 sio wake[emoji38]
Na bado wanawake wanazaaUsijifanye huoni soma maelekezo hapo alafu tuambie maoni yenu [emoji38][emoji38]View attachment 2290610
Shangaa nawewe!!!!!Kwamba kuna nini hasa cha maana kwenye uke wenza?
UpendoKwamba kuna nini hasa cha maana kwenye uke wenza?
Khaa!! No thanks.Upendo
Aiseee....sawasawa.Uke wenza wabaki nao wanauweza 😅ref. To Mpali TV program…
😂😂Sasa hivi mzee amerogwa ,kapooza familia ni tafraniii.Uke wenza wabaki nao wanauweza 😅ref. To Mpali TV program…
Sema naona ya leo kile kibubu kikipasuliwa anaweza ponyeka😂😂Sasa hivi mzee amerogwa ,kapooza familia ni tafraniii.
Uke wenza usizidi two wives 🥰 ukizidi ndio majanga ya MpaliAiseee....sawasawa.
Sawa kabisa..Uke wenza usizidi two wives 🥰 ukizidi ndio majanga ya Mpali
Hivi si lazima yule mtoto wake ambaye Yuko na disability anapaswa akibomoe!Sema naona ya leo kile kibubu kikipasuliwa anaweza ponyeka