Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
WANAWAKE MSIKUBALI KUGEUZWA SHAMBA LA BIBI!
Anaandika, Robert Heriel
Tuwaelimishe binti, Dada na Mama zetu ingawaje tunajua hakuna kazi ngumu kama kumuelimisha Mwanamke hasa katika kumwambia ukweli, kwani siku zote ukweli unauma. Wanawake wengi hawapendi ukweli Kwa sababu hawapendi kuumia. Hawapendi ukweli Kwa sababu ni ngumu kuupokea ukweli. Na Wanawake hawajaumbwa Kwa mambo magumu.
Binti zangu, wake zangu, Mama zangu; msikubali kugeuzwa shamba la Bibi, Chuma ulete. Tumieni Akili zenu vyema.
1. Wakija kina kalumanzila, Sangoma wanawalenga ninyi. Why? Kwani ninyi ni wajinga kiasi hicho?
2. Wakija kina Tiba mbadala wanawalenga ninyi, mtanyweshwa madawa mpaka mkome.
3. Wakija wazungu na chanjo na madawa ya Uzazi Mpango yanawalenga ninyi, mwishowe mnakuwa mateja na wenye matatizo ya Uzazi. Hilo hamlioni?
4. Wakija Haki za binadamu, wanapitiemo matapeli humo, wanawadanganyeni muwe viburi na Kisirani ili muishi single ili iwe rahisi kuwa manage, wanasema divide and Rule Law.
5. Wakija Manabii na mitume wa upako na masharifu wanawalenga ninyi.
Maendeleo yanakuja Kwa kufanya kazi, hakuna Maendeleo yanayokuja Kwa maombi au kwenda Kwa Nabii au Mtume.
Wanajua mnapenda mambo rahisi na hampendi Kutumia Akili ndio maana wanawatumia vile watakavyo.
6. Wakija wazee wa biashara za marketing wanawalenga ninyi kama kawaida.
Hivi ninyi Binti zangu NI kwamba hamtumii akili?
Acha nipumzike Kwanza. Ilikuwa Leo ni Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam