Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
walioandika katiba makamu awe Rais bila uchaguzi walikosea sana, ni maumivu tu hadi 2030 katiba itafumuliwa yote! samahani mi siamini katika uongozi wa mwanamke sorry guys!
mama kazi yake ni kulea watoto si kuongoza ofisi!
Ulisoma shule ya sekodari ya Kata ipi?
Sifa za mwanamke ni hizi hapa 👇Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi.
Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala, ni uthibitisho kuwa Rais anatoa fursa .
Ili kuendelea kuaminiwa na kupata nafasi za juu za uongozi waliopewa nafasi katika uteuzi wa Rais Samia Suluhu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii, maarifa na wasimuangushe mama kwani dunia inatambua mama yuko kazini hivyo wanapaswa kuungana naye katika kuleta maendeleo ya nchini.
Naunga mkono hojaRais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi.