MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mimi sio jinsia hiyo. Kama una akili timamu hutashindwa kuelewa ID ninayotumia ina maana ganiMada ilitakiwa iwe
'sisi Wanawake msipoacha kutambiana mtafika mbali.. inuaneni'
Hivi si punde nami nilitaka nimkumbushe mleta mada,kwamba mbona nanyi wanaume mnachukiana sana... maana naona kilasiku comments zikimdiss mleta mada wanaume wenzie wakimwita mmamaMada ilitakiwa iwe
'sisi Wanawake msipoacha kutambiana mtafika mbali.. inuaneni'
Hehehe!!!Hivi si punde nami nilitaka nimkumbushe mleta mada,kwamba mbona nanyi wanaume mnachukiana sana... maana naona kilasiku comments zikimdiss mleta mada wanaume wenzie wakimwita mmama
Huna akiliMimi sio jinsia hiyo. Kama una akili timamu hutashindwa kuelewa ID ninayotumia ina maana gani
Wewe una akili kuja kutukana watu mtandaoni? Tukikutana LIVE utaweza kunitukana?Huna akili
Wap nmekutukana?Wewe una akili kuja kutukana watu mtandaoni? Tukikutana LIVE utaweza kunitukana?
Wa hali ya juuKwakweli huo ni ujinga sana