Wanawake msipoacha kutambiana mtafika mbali.. inuaneni.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Kuna kampeni nyingi mno tofauti tofauti zinazohusu wanawake. Vikundi vya ujasiriamali ni vingi mno vya wanawake. Ila pamoja na yote bado wanawake ni tegemezi kwa wanaume ambao hatuna hizi harakati zao wala vikundi. INASHANGAZA. Sababu kuu ni wao wenyewe kuoneana wivu na kutambiana kipuuzi. Hii huwavuruga sana na kuishia kujikuta wanafanya uovu ili kwenda sawa na wenzao.

Nimekuta hii post huko Insta ambapo wanawake wanatambiana mali wanazomiliki. Ni post ya kipuuzi mno ambayo haiwajengi zaidi ya kuwabomoa kihisia.

View: https://www.instagram.com/p/DHFXuK7ND6w/?igsh=MWRvZzBwcXZ5ZzlyNA==
Ninawasihi wanawake mpendane na kuinuana kiuchumi badala ya huu ujinga wa kuchukiana.
 
Mada ilitakiwa iwe

'sisi Wanawake msipoacha kutambiana mtafika mbali.. inuaneni'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…