Wanawake msiwalaumu wanaume wa Dar, hizi hapa changamoto zinazowakumba

Wanawake msiwalaumu wanaume wa Dar, hizi hapa changamoto zinazowakumba

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
758
Imezoeleka kwenye mitandao ya kijamii kusikia kila kitu kibaya wanapewa wanaume wa Dar, ****"poor performance kunako 6/6, sijui eti vibamia, n.k

Yawezekana madai hayo in kweli, ila tukubali kuwa wanaume wa Dar wana mambo mengi yakuwafanya wasiwe the best kama watu wa Maswa, Rorya, Ukerewe n.k , kwa sababu zifuatazo:

1)Joto lililopitiliza linaweza sababisha kutokuwa comfortable, hasahasa unapokuwa unahangaika na kufuta mijasho, ukibahatika kumaliza first round yawezekana usitamani kuingia ulingoni tena.

2)Stress za kuchelewa kazini kutokana na msongamano wa magari. Utakuta Me akiingia kitandani mda wrote anawaza ni njia IPI apitie ili awahi kufika keenye kibarua, NFO wengi wao unakuta wanaamka saa kumi kasoro alfajiri.

3)Traffic jam wakati wa kutoka kwenye utafutaji, wengine hadi saa tatu usku ndo wanaingia ndani wamechoka zao, wakibahatika kuingia kitandani ndo baaasi usingizi huoooo.

LAKINI KWA WANAUME WA KIJIJINI HIZO STRESS HAKUNAGA.
Weka na nyingine unayoijua
 
Mwanaume wa dar atabaki kuwa wa dar tu.....

Nyingine ni hii
1.yani kisaikolojia walisha jiridhisha kwamba bila chuzi la pweza, konyagi kidogo mambo hayaendi na mapenzi ni saikolojia jinsi unavyojijenga ndio performance yako katika 6*6 inavyokuwa..
 
Inasikitisha sana aisee
 
Back
Top Bottom