Wanawake Mtambuzi mmemhonga nini?

Jamani hivi mmesahau kuwa mie mgonjwa? Haya mawingu na mvua za Dar, huu mkono wenye chuma ndani unauma kitu cha ajabu....... ngoja nawavutia kasi kwanza.................lol

pole sana mtambuzi.. Baadaye tutakutana maeneo ye2 yale ya kongoro ili unipe ideas za hawa wabeijing.
 
Mtambuzi yupo ila mlimkosa kidogo kwa sababu alibadili miwani nadhani hii aliyopata inaukunguukungu hivyo anapata tabu kidogo kuona. ATAKUJA.
 
Jamani hivi mmesahau kuwa mie mgonjwa? Haya mawingu na mvua za Dar, huu mkono wenye chuma ndani unauma kitu cha ajabu....... ngoja nawavutia kasi kwanza.................lol
Pata kidonge.
 
Mie namshukuru baba yangu huyu coz ameamua kubansi genda,hope sasa ni wakati muafaka wa yeye kutuandikia kuhusu wanaume ili nasi tupate uelewa kuhusu wao km alivyokuwa akitoa uelewa kuhusu sie wadada,na wala hatujamhonga hope atakuwa ameamua kuzingatia genda na hata hiyo kasi anayoivuta nitafurahi km itakuwa ni kwa ajili ya wanaume!
 
Jamani hivi mmesahau kuwa mie mgonjwa? Haya mawingu na mvua za Dar, huu mkono wenye chuma ndani unauma kitu cha ajabu....... ngoja nawavutia kasi kwanza.................lol

kumbe hauna cha stop ila in maradhi sugu ya kuumia mkono tu.....ambayo karibu yatakuachilia huru.........
 
Pole Mkuu Mtambuzi,
mimi nakukubali kwa asilimia zote,
najua hata binti zako Cantalisia na Zinduna wanakukubali,
sijui Ashadii, Lizzy, Afrodenzi, Kongosho, Dena Amsi, Marytina, King'asti na wengineo kibao humu jf wanasemaje kuhusu wewe mkuu.

Mi sisemi hapo kwenye list ya mwisho, maana kama 'shari' basi ilianzia hapo hapo kwa huo mstari wa mwisho. Mtambuzi mwenyewe anajua 'waliokuja juu'.
 
Mi sisemi hapo kwenye list ya mwisho, maana kama 'shari' basi ilianzia hapo hapo kwa huo mstari wa mwisho. Mtambuzi mwenyewe anajua 'waliokuja juu'.

Hapana walikuwa na utani na kaka yao tu
wala hawakuja juu.
 
Naona kama jf wengi wapo kwenye kumalizia weekend,
mkirudi mtatuambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…