Wanawake Mtanisamehe Bure

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
''Baby Nimemiss kweli Muvi,Can we go sa 2 tukacheki
pale Mlimani nimeona ratiba Muvi ya Road to Freedom
ya Mandela imetoka.Now niko home huku KITUNDA
kwa Shangazi, ntakuja kwenye Saa 1 na nusu hivi na
Taxi, nikifika ntakubeep utatoka uje kumlipa dereva
pale kwenye Entrance ya ATM ya CRDB pale, sawa bebi eeh,xoxoxo''
Ukimwambia apande Bajaj ili angalau Cost ya Usafiri
ipungue hataki anakwambia,''No Baby, Bajaj kelele
sana halafu naogopa ajali coz hazina Seat Belt'' Ratiba
umeanzisha wewe...Hela ya Taxi nilipe mimi na Tiketi
ninunue mimi..Taxi Kutoka Kitunda hadi Mlimani City kweli???
Hivi nyie Viumbe mnadhani Boxer zetu zina Mbolea
kwamba tukiamka tunakuta Elfu Kumi Kumi
zimechipua asubuhi ama??Hata kama ndo
unamkomoa mtu jamani khah,ghrama zote hizi halafu
unaambulia busu kwenye shavu,kiruu! Ukifika Mcity utakuta nimezima Simu ndo utajua Road to Freedom
ya Mandela imekupeleka wewe Prison,Vibogoyo wa
Fikra nyie!
 
KWA WANAWAKE WA JF:
Kama ulimpiga STUNTER Chaga jitokeze ili tusuluhishe huu mgogoro baina yenu na yeye, anakoelekea sii salama kwa utu wenu...njoni tuwapatanishe!!!
 
dawa ni kuwaambia hadi waelewe hata wakitokea wanaowatetea usisite kuwaeleza, meseji imefika
 
KWA WANAWAKE WA JF:
Kama ulimpiga STUNTER Chaga jitokeze ili tusuluhishe huu mgogoro baina yenu na yeye, anakoelekea sii salama kwa utu wenu...njoni tuwapatanishe!!!
waite wote waje hapaaa
 
huenda jamaaa anaongea kwa experience maana hiyo mizinga ni bora uwe unakuja home direct ili fidia iwepo.
 
Wape za uso mkuu,maana ni mizigo isiyobebeka,wamenifanya nimalize kiinua mgongo changu,na sasa naona moto
 
Acha kuwashusha wanawake, huyo ni mtoto siyo mwanamke anayejitambua
 
Date ur Type aise but kuna watoto wa kishua akikupenda mbona hakuchuni hata 100 basi tu yanj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…