STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
''Baby Nimemiss kweli Muvi,Can we go sa 2 tukacheki
pale Mlimani nimeona ratiba Muvi ya Road to Freedom
ya Mandela imetoka.Now niko home huku KITUNDA
kwa Shangazi, ntakuja kwenye Saa 1 na nusu hivi na
Taxi, nikifika ntakubeep utatoka uje kumlipa dereva
pale kwenye Entrance ya ATM ya CRDB pale, sawa bebi eeh,xoxoxo''
Ukimwambia apande Bajaj ili angalau Cost ya Usafiri
ipungue hataki anakwambia,''No Baby, Bajaj kelele
sana halafu naogopa ajali coz hazina Seat Belt'' Ratiba
umeanzisha wewe...Hela ya Taxi nilipe mimi na Tiketi
ninunue mimi..Taxi Kutoka Kitunda hadi Mlimani City kweli???
Hivi nyie Viumbe mnadhani Boxer zetu zina Mbolea
kwamba tukiamka tunakuta Elfu Kumi Kumi
zimechipua asubuhi ama??Hata kama ndo
unamkomoa mtu jamani khah,ghrama zote hizi halafu
unaambulia busu kwenye shavu,kiruu! Ukifika Mcity utakuta nimezima Simu ndo utajua Road to Freedom
ya Mandela imekupeleka wewe Prison,Vibogoyo wa
Fikra nyie!