Wanawake mtatuua kwa kibondo....kha!

Wanawake mtatuua kwa kibondo....kha!

Napita tuu hapa sicomment wala nini maana hii ni habari mbaya kwa wanaume wote
 
na bado........

mbona nyie mnawageuza wake zenu punching bags lakini hawagomi?
mnawaambia ndio ndoa zilivyo wavumilie?

sasa na nyie vumilieni......
 
Napita tuu hapa sicomment wala nini maana hii ni habari mbaya kwa wanaume wote

it is a hard,undeniable,painful fact kwamba wanaume tunapigwa na spouses wetu,all we are doing ni kuficha ukweli huo ili 'tusichekwe ' na jamii,tufunguke jamani,wanawake violent wako kibao.
 
Bishanga nikichezea kichapo toka kwa mama Kayaii nikaja kulalamika hapa mmu mnanicheka,jamani zis is a serious problem,hebu someni hii toka front page ya 'daily news' ya leo:
Kenyan men urged to boycott meals in abuse protest:
A Kenyan men's lobby group has called for a six day food boycott to highlight what it says is increasing domestic violence against men......
Tufunguke jamani,tuchukue hatua, hawa wanawake watatuua kwa kibondo,ohoooooooooo!!!!! Mimi nimeanza mazoezi ya karate,wenzangu sijui mna plan nini.

sasa wewe unakutana na mwanamke bar ijumaa.. unaoa jumapili.. Unategemea nin hapo!!! Ni haki yako kuchukua kipigo...
 
it is a hard,undeniable,painful fact kwamba wanaume tunapigwa na spouses wetu,all we are doing ni kuficha ukweli huo ili 'tusichekwe ' na jamii,tufunguke jamani,wanawake violent wako kibao.

me im not aisee... sorry..... and it'll never happen..
 
kweli sijawah kushuhudia dume likipewa kichapo na mkewe,hahahaaa sijui analiaje kama mbusi au!
 
Acheni kuoa wanajeshi na mgambo. Mwanaume unakuta kazi yako wewe ni kukaa kwenye kiti chakuzunguka wakati mwenzio akienda job kitu cha kwanza anakula push up za maana.

Ukitoka kazini unakula kwanza bata halafu unafika nyumbani unaanza kuleta amri zako hapo lazima ule vitasa vya maana.
 
hizi za wanaumme kuwekwa kwenye kibanio zinasababishwa na ugumu wa maisha na wanaumme hao kutelekeza familia zao.....................uchunguzi wangu umebaini wanaumme wengi ambao hupigwa na wake zao huwa ni walevi wa kupindukia na nyumbani kwao hawana msaada wowote ule...............mwishowe mke akiamua kukukosea adabu huwa kwanza kuigawa kitu yake kama amepapumbaa akiona na ulevi wako huoni wivu..................na kujirudi basi jiandaee kutandikwa na kuchomwa kisu mpaka ufe...........................inasikitisha lakini huu ndiyo ukweli.........
 
pheeeeeeewww hii thread nai print na kuipeleka legal and human rights centre,i will be very interested kujua reaction yao,jamani haki kwa wote including battered husbands,kwa nini mnahukumu?honestly sielewi and i feel so bad about it,kweli kabisa.
 
dunia ipo kwajl ya vbweka...na hiv ndo nbweka vyenyewe
 
hahagja pole mwayego!

pheeeeeeewww hii thread nai print na kuipeleka legal and human rights centre,i will be very interested kujua reaction yao,jamani haki kwa wote including battered husbands,kwa nini mnahukumu?honestly sielewi and i feel so bad about it,kweli kabisa.
 
One thing i have discovered tokana na majority ya comments kwenye uzi huu (99%),kumbe mke kumpiga mme ni haki kabisa na mme kumpiga mke ni uonevu,ama kweli mkuki kwa nguruwe. Sina jinsi ninalog off,ngoja nitafute pengine pa kukimbilia.

Usikimbie kwani wakti mnatudunda mbona hukukimbia? tulia tubanane na ivo kila ukirudi uko chakari tufaidije.
 
Back
Top Bottom