Wanawake muache hii tabia, mnatuboa!

Wanawake muache hii tabia, mnatuboa!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Mtu mna wiki tu anakwambia, ''Baby naomba basi japo unipe mtaji nifungue kibanda cha MPESA. Love yuuuuu xoxoxoxo''..

Line tu ya M Pesa si chini ya 2milion, bado hujaiwekea float, hujalipia kodi ya
hiyo fremu. Alivyoiomba utadhani ni kakitu ka Elfu thelathini.
 
kwahyo unavyomgeuza geuza unajiskia raha tu kuombwa pesa au mitaji mnanuna mtoe hela tu kama unavyombadilishia mastyle
Ha ha ha tatzo aina ya uombaji aisee kuna mwengne unaona Hakuna uwakala Walla kibanda cha kuuzia vocha
 
Ingekua kweli pesa wanayppewa wangekua wanafungua biashara kweli
Basi utegemezi na mizinga ingepungua na kuisha kabisa
 
Wanaume mnalalamika Sana. Kupigwa mzinga mbona ni jambo la kawaida hilo.
 
Back
Top Bottom