Wanawake muache hii tabia, mnatuboa!

hahahh no sio kutoa lkn ni wajibu wako kumpa
inawezekana nikawa mimi ndo nna wajibu wa kukupa, lakini pia na wewe kama una uwezo unaweza kunipa. sio wewe tu ndo uone ndo una haki ya kupewa. kama ambavyo kwenye gemu mimi na wewe wote tunafika kibo, hata kwenye mambo mengine tuende sawa. si ndo hata mliyokubaliana kule beijing? usawa!!
 
[emoji444] [emoji445] Nasema tax nilipe
Rent me nikupe
Nywele zisongwe
Mombasa si twende
Mapenzi nikupe mpaka we uridhike[emoji444] [emoji445] ---uliza kiatu(ask my shoe).....
 
kwahyo unavyomgeuza geuza unajiskia raha tu kuombwa pesa au mitaji mnanuna mtoe hela tu kama unavyombadilishia mastyle
" ... unavyomgeuza geuza " ... shunie uchokozi huo [emoji1] [emoji1] [emoji1] ... kwani amekuwa chapati
 
Nawe acha kutongoza hovyo maana wote mpo katika biashara una budi kulipia pia
 
Laini ya m pesa ya milioni unaitoa Antaktika ama? acha ubahili mpe japo laki 5 aanze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…