Mkuu hapo lazima uchague moja vinginevyo usijihusishe kwenye mambo ya mitongozoAisee hiyo Ngumu kumeza".... kwahiyo sisi ambao hatuwezi kuwa na roho mbaya", na hatutaki pia kufanyiwa roho mbaya", Tufanyaje Mkuu "...?
Si upo nyuma ya keyboard bhana, Igiza tu maisha.. Siri ya kuwa tajiri ni kuthamini kila shilingi Moja!Hivi muamala wa elfu nne unatoa sh ngapi? Me napiga simu voda au tigo nawaambia kuna hela imeingia kwenye simu yangu kimakosa warudishe kwa mwenyewe Na wablock miamala kama hyo ya elfu tatu au nne isije kwangu
Aisee nimekupata chief...Ngoja nijifunze roho Mbaya na mimiMkuu hapo lazima uchague moja vinginevyo usijihusishe kwenye mambo ya mitongozo
TehteheteheAisee nimekupata chief...Ngoja nijifunze roho Mbaya na mimi
Ila wakatae wakubali hawa viumbe baadhi yao wanapenda sana kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli. Nakumbuka nilishawahi danganya demu kwamba, nitakujengea nyuma eti akakubali wakati anajua fika mimi mwenyewe nimepanga chumba na sebule.
Hahaha, ujue ukiwa mkweli sana kwa hawa viumbe muda mungine unaweza kuishia tu kuwala kwa macho.Mkuu we noma
Hahaha, ujue ukiwa mkweli sana kwa hawa viumbe muda mungine unaweza kuishia tu kuwala kwa macho.