Wanawake Mungu anawaona

Wanawake Mungu anawaona

Aisee hiyo Ngumu kumeza".... kwahiyo sisi ambao hatuwezi kuwa na roho mbaya", na hatutaki pia kufanyiwa roho mbaya", Tufanyaje Mkuu "...?
Mkuu hapo lazima uchague moja vinginevyo usijihusishe kwenye mambo ya mitongozo
 
Hivi muamala wa elfu nne unatoa sh ngapi? Me napiga simu voda au tigo nawaambia kuna hela imeingia kwenye simu yangu kimakosa warudishe kwa mwenyewe Na wablock miamala kama hyo ya elfu tatu au nne isije kwangu
Si upo nyuma ya keyboard bhana, Igiza tu maisha.. Siri ya kuwa tajiri ni kuthamini kila shilingi Moja!
 
naona demu katoa no. ya tigo.
tigo tigo tigo tigo tigo
 
Mkuu we noma
Ila wakatae wakubali hawa viumbe baadhi yao wanapenda sana kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli. Nakumbuka nilishawahi danganya demu kwamba, nitakujengea nyuma eti akakubali wakati anajua fika mimi mwenyewe nimepanga chumba na sebule.
 
Yani sijui kwanini silipendi hilo neno "my"mtu akiniita huwa natamani nimtukane
 
Back
Top Bottom