Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mkiwa huko mnaitana shunu sijui chibaba mara 'halaaal ya rouhy' ila hapa mnaitana mchawiLichawi hili
Ko mwanaume mwenzio akiutega na ww unautega ๐non verbal communication na verbal communication dalili za mvua hamna namna ya kuzuia mvua kunyesha nenda gym endesha Porsche,Ferrari,jaguar kata pank weka bleach kuwa na office washinton DC unatongozwa kirahisi sana wanaojua akina rihana wao walishakubali yaishe siku nyingi kilichobaki wanafurahia maisha Sasa ceo nyie mnashindwa kubalance maisha mkakubali yaishe mjingee heshima katika jamii
Looh ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธAkafie mbele๐ฅบsi mmalizane kimya kimya
Totoo kwani ni nini mbaya na wewe๐คฃ๐คฃAkafie mbele๐ฅบsi mmalizane kimya kimya
corona hiyo, pole sana.Jiji limenikaribisha na mafua makali, niko poa lakini. Alhamdullilah ๐
๐corona hiyo, pole sana.
Malizaneni kimya kimya mi nisijue ataniletea mizaha tukiwa kwenye alqasusTotoo kwani ni nini mbaya na wewe๐คฃ๐คฃ
๐Dah kwahiyo baba yako hakumuheshimu mama yako?
Si ndio๐คฃNimemtongoza nani babe, labda wewe tu๐
muislam anaempinga yesu ni msindikizajiUme wrong number :
Waislam wanamtambua Nabii Issa (Yesu) kama Nabii na wanamtukuza Maryam (Marry) kama mama aliyepata mimba kwa miujiza ya Mungu. Soma Quran kuna sura ( chapter kamili) ya Maryam (Mary). Waislam wanavikubali vitabu viliyo tangulia Zaburi ya Daudi, Tairat ya Musa, Injili ya Isa( Yesu),
Hao wateule wenu Wayahudi wanamkana Yesu na kumuita mwanaharamu na kumdhalilisha Mary( Maryam) kama Malaya na hawaukubali ukirsto na vitabu vyake.
Labda wao.Si mimi.Nakataa/nahepa!๐We ni muongooooo ๐๐๐๐
Hatari๐ณmambo yamegeuka Tena!?
Umetumia silaha kubwa sana kwenye Vita ndogo sana.Dah kwahiyo baba yako hakumuheshimu mama yako?
Nimemkumbusha tu sema imewauma maana vitu vingine mnadhani mnadhalilisha wanawake mnasahau kuwa mna mama zenu nao ni wanawake, sasa kukwepa aibu ndo mnajifanya ooh silaha kubwa,, mara mama kaingiaje,!!!Umetumia silaha kubwa sana kwenye Vita ndogo sana.
io mchawi niweweMkiwa huko mnaitana shunu sijui chibaba mara 'halaaal ya rouhy' ila hapa mnaitana mchawi