Wanawake, mwanaume anayekutongoza kakudharau

Wanawake, mwanaume anayekutongoza kakudharau

non verbal communication na verbal communication dalili za mvua hamna namna ya kuzuia mvua kunyesha nenda gym endesha Porsche,Ferrari,jaguar kata pank weka bleach kuwa na office washinton DC unatongozwa kirahisi sana wanaojua akina rihana wao walishakubali yaishe siku nyingi kilichobaki wanafurahia maisha Sasa ceo nyie mnashindwa kubalance maisha mkakubali yaishe mjingee heshima katika jamii
Ko mwanaume mwenzio akiutega na ww unautega 😄
 
My head o full o, kila siku zinakuja postulates mpya. Tuache na kuchukua zipi-postulates?
 
Ume wrong number :
Waislam wanamtambua Nabii Issa (Yesu) kama Nabii na wanamtukuza Maryam (Marry) kama mama aliyepata mimba kwa miujiza ya Mungu. Soma Quran kuna sura ( chapter kamili) ya Maryam (Mary). Waislam wanavikubali vitabu viliyo tangulia Zaburi ya Daudi, Tairat ya Musa, Injili ya Isa( Yesu),


Hao wateule wenu Wayahudi wanamkana Yesu na kumuita mwanaharamu na kumdhalilisha Mary( Maryam) kama Malaya na hawaukubali ukirsto na vitabu vyake.
muislam anaempinga yesu ni msindikizaji
 
Umetumia silaha kubwa sana kwenye Vita ndogo sana.
Nimemkumbusha tu sema imewauma maana vitu vingine mnadhani mnadhalilisha wanawake mnasahau kuwa mna mama zenu nao ni wanawake, sasa kukwepa aibu ndo mnajifanya ooh silaha kubwa,, mara mama kaingiaje,!!!
 
Back
Top Bottom