Kwa asilimia kubwa wanamama wanaookoka huwa wanatoa ushuhuda kuwa walishakwenda kwa waganga na sababu kubwa ni kuassume control over men
na katika hili,7/10 huwa wanakubali kuhangaika kwanza kupata yale wanayoyataka,matatizo yao ni,kukosa mtoto,kukosa mme,mme kutotulia,kuhisi hapendwi,kuhisi anadharaulika,kunyanyaswa na ndugu wa mme,na kutokujiamini,n.k,
mwanzo huvumilia,baadae uanza safari za kwa babu na huko ikishindikana ndo uamua kwenda kwenye maombi ambapo mme naye huingizwa kwenye maombi na hatimaye kuokoka,mama upata peace na kusettle.kwa taharifa tu ni kwamba wanaume walio wengi hupelekwa kuokoka kupitia kwa wake zao
mimi sina PhD hvyo msihoji sana ila haya ni kutoka kwenye uzoefu wa mitaani na makanisani