Wanawake na kisirani cha ujumbe wa simu…………………..!

Sauti ya mtu inaweza ikadanganya ila maandishi pekee yanaweza yakadanganya zaidi pia kupotosha ujumbe kwakukosa hisia au kuonyesha zaidi ya iliyokusudiwa.
 
Nilimshauri namna ya kuku-handle kwa makini, nashukuru kama amejirekebisha sasa....................
Kwa kweli sasa nainjoy sana baba,
Hata akileta posa kwa sasa pokea tu na umpe majibu ya IMEKUBALIWA lol!
 
Kwa kifupi simu zimeongeza udanganyifu kwenye mahusiano hata kama utaamua kumpigia unaweza kumdanganya hata ukituma text ni yaleyale. Ila kwa kupiga ni nzuri zaidi unaweza kumpata anayekudanganya pale unapomuuliza maswali na kuanza kubabaika
 
Nilikuwa nafanya uchunguzi yakinifu ili kuthibitisha kama niko sahihi.....................Nimefurahi sasa nimekufahamu.
Baba,kwan Eiyer ndio yule kaka yetu ulisemaga ulimpata ujanani?
 
wanawake mwalimu wetu kipofu yan kwenye mapenzi hata wenye phd wanawaza kama watoto wa chekechea teh.
ndio tulivyo ivyo mmh.
 
wanawake mwalimu wetu kipofu yan kwenye mapenzi hata wenye phd wanawaza kama watoto wa chekechea teh.
ndio tulivyo ivyo mmh.
Labda mwalmu wako wewe. Mimi mwalimu wangu yuko timamu kabisa na hajapofuka
 
Wanawake wanapenda sana ku argue ndo maana wanataka wapigiwe halafu wanajifanya FBI ukumpigia unamwambia nipo ofisini atasema mbona nasikia sauti ya mziki laini hapo?
 
Nice post..asante mtambuzi!

sms/text zinachanganya sana akili, napenda kusikia sauti ya mtu kwenye jambo muhimu.
 
mapenzi bana hata mume nae hatakubali akiambiwa mke analala ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…