Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko poa kbs,EiyerHabari ya w/end Canta?
Kwa kweli sasa nainjoy sana baba,Nilimshauri namna ya kuku-handle kwa makini, nashukuru kama amejirekebisha sasa....................
Baba,kwan Eiyer ndio yule kaka yetu ulisemaga ulimpata ujanani?Nilikuwa nafanya uchunguzi yakinifu ili kuthibitisha kama niko sahihi.....................Nimefurahi sasa nimekufahamu.
Hahahahaha!Nilikuya YAMINI na baba yake, ni mwanangu wa hiyari huyu.............................LOL
Labda mwalmu wako wewe. Mimi mwalimu wangu yuko timamu kabisa na hajapofukawanawake mwalimu wetu kipofu yan kwenye mapenzi hata wenye phd wanawaza kama watoto wa chekechea teh.
ndio tulivyo ivyo mmh.
Iko poa kbs,Eiyer
Vp umeadimika bwana,heri ya mwaka mpya!
Baba,kwan Eiyer ndio yule kaka yetu ulisemaga ulimpata ujanani?
wanawake mwalimu wetu kipofu yan kwenye mapenzi hata wenye phd wanawaza kama watoto wa chekechea teh.
ndio tulivyo ivyo mmh.
Lakini kiroho kitakuwa kinakuuma kwa mbaaaali......................