Wanawake na kupenda wanaume wenye hela...


i just cant get enough of this....
 
aaah! kumbe na wewe kama mimi!
ndio kwanza nimeingia lakini nimefall in love kweli na hii sredi ya michelle. acha nikae pembeni bikoz ofutopik iz striktly not allowed in zis sred.
 
Ndio michelle nakupa tano kabisa maana siku hizi si wadada si wakaka wote macho juujuu tu kuangalia huyu ni nani na ana nini sio kuangalia huyu ana tabia gani personality ya mtu na kama anafaa kuwa mwenza. Binafsi pesa sio kigezo hata kama hatuna kitu tunaweza anza chini na kwenda juu as long as wote mna lengo moja na vigezo vyote vimezingatiwa
 
for sure ntakualika tena ile physically ila usijeonesha kuwa kuna wakati nilichanganywa na mmarangu.
My take: Wakati wa kunipongeza (most cases inahusisha kukumbatiana) usijiite Michelle manake ntajiskia vibaya.


Uwe na amani,ya JF yataishia hapa hapa sitayaleta kwenye furaha yako Marytina.....asante,nitafurahi kuhudhuria...
 

I agree with you Tracy,natamani kuwaambia hao wanaume wenye hizo tabia.....najua kama wako JF basi ujumbe wako umewafikia....duh,ila haipendezi eeeh....ni kweli money is not everything and it will never be everything.....watu wakielewa hili Tracy watafanya maamuzi yenye busara zaidi.......
 
Kwani hela lazima uzipate kupitia kwa mwanaume? si uzitafute mwenyewe????? kama una viungo vyote ambavyo mwanaume anavyo (kasoro baiolojia), kwa nini isitafute hela zako mwenyewe????

hakuna sehemu kwenye maelezo ya hii thread tumesema lazima uzipate kupitia wanaume.....huo ni ushamba,ushapitwa na wakati.....
 
ndio kwanza nimeingia lakini nimefall in love kweli na hii sredi ya michelle. acha nikae pembeni bikoz ofutopik iz striktly not allowed in zis sred.

aaaaaaaahhhhhh changia please,off topic but around the topic is allowed......:coffee:
 
bac kama ni hvyo PESA au HELA ndo inaletatzo hapo na ndo mana wanasema hakunaga upendo au love kwenye pesa hapa kunatatzo.

Unaonaje Murefu,we binafsi unafikiri kwenye pesa kuna love au hakuna??manake umesema unasikia,sasa wewe binafsi waonaje??
 
Wanawake wakiwa bao vyuoni wanakuwa na mitazamo ya kizushi na isiyo na ukweli halisi wa maisha yalivyo ndio maana wanaishia kwenye matatizo ya kujaribu kutafuta wanaume wenye minoti.Hivi tuwe wakweli....wanaume wangapi wanaweza kuhonga magari kwa wanawake zao???
 

Kuhonga au kumpa mwanamke gari?? kuna tofauti ya kumpa mwanamke unayempenda gari na kumhonga ili upate penzi......
wenye uwezo wa kuhonga wachache.......
 

Well said, wanawake wajifunze kujitegemea sio kuwa tegemezi kila wakati. Wengi wa wanawake wanaolewa kwa opportunities and not love.
Wanaume mpo hapo!! Wengine wanaolewa sababu ni mtoto wa fulani sasa mapenzi hayo au kuzinguana mbele ya safari? Huo mtoto wa fulani ukiisha na mapenzi ndani ya nyumba kwishney!! Women have to learn how to be INDEPENDENT PERIOD na wanaume punguzeni kuhonga nendeni mkaendeleze vijijini kwenu. Ni ushauri msije mkanitoa meno
 

ha ha ha ha ha,wamekusikia Pakawa.....
 
dah! yaani naiheshimu hii sredi mpaka nimeshindwa kujibu hapo red.
 
Nimefurahi sana kuona mwana dada anaeleza ukweli wa maisha ya mahusiano, wewe unafaa kuwa mke hata kabla ya kukuona.
Lazima kila mwana dada ajue kwamba kuolewa na mwaume mwenye uwezo mdogo au mwenye uwezo mkubwa hakuna uhusiano wowote na kuwa na maisha yenye furaha kwenye ndoa. Furaha kwenye ndoa inajengwa na wanandoa wenyewe kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake awe ni tajiri au masikini. Kama mwanadada umebahatika kupata mwanaume mwenye uwezo angalia moyo wako unasema nini then fanya maamuzi kama uliyempata anauwezo mdogo pia mshukuru mungu.
 


Asante sana Vumbi....umefafanua vizuri....:coffee:
 

That's what's up sis. Wengi tunatawaliwa na tamaa, wanaume kwa wanawake, ukiweza kuishinda tamaa na kufanya kazi kwa mipango utaondoa matatizo mengi sana.
 
That's what's up sis. Wengi tunatawaliwa na tamaa, wanaume kwa wanawake, ukiweza kuishinda tamaa na kufanya kazi kwa mipango utaondoa matatizo mengi sana.

Nakubaliana na wewe Kiranga.....huu utegemezi unatugharimu sana.....:coffee:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…