Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi mwenyewe niko katika harakati za kuhonga gari, muda si muda my new kilambalamba atakuwa anasukuma ka rav 4 milango mitatu.
Siko hapa kutoa madongo,ni maoni tu....imekuwa kana kwamba wanaume wenye hela hawana mapungufu.....au ukiwa na mwanaume mwenye hela hapaswi kukosea...
Ukweli ni kwamba, kila ndege hutua tawi alipendalo, akiwa napesa nika mpenda poa akija mwenyepesa kawaida nikampenda cool. Cha muhim moyo wa mtu umetua wapi.
Ukweli ni kwamba, kila ndege hutua tawi alipendalo, akiwa napesa nika mpenda poa akija mwenyepesa kawaida nikampenda cool. Cha muhim moyo wa mtu umetua wapi.
no comment for 2day...ila nahisi kuanza kuku-fuatilia kujua "UMEPATA WAPI" uwezo huu adimu sana kwa wanawake wengi hasa wa dunia ya tatu kama tanzania kuja na hoja +ve na ya-kujenga jamii kama hii... be blezd
Hivi mkihonga ili mpewe nini cha badala?mi mwenyewe niko katika harakati za *kuhonga* gari, muda si muda my new kilambalamba atakuwa anasukuma ka rav 4 milango mitatu.
Mamuu Husninyo!kweli mamushka.
Kila shetani na mbuyu wake.
Likewise luxuries!Hongo tu mkuu,* life is too short.*
Huyu si* an'tia wasi wasi kama ni kweli ni mwanadada!hivi jaman tuwe wakweli tuache dead theories, hapa mjini hamna shamba la kulima mihogo na ndizi shamba ni ATM, hata uwe na misuli kama ARNOLD au handsome kivipi hamna show game wala huruma kuoneana in life.
Ubarikiwe Michelle tupo pamaja kama kawaida.
Wakaka, Mnaotarajia kuoa au mnaotafuta wakuoa, jifunzeni kitu katika hili, achene kiburi cha pesa, manake wengine mnaingia mkenge kwa hao wadada wapenda pesa kwa sababu ya hiyo kujionesha una pesa na confidence yako unaiweka sana kwenye pesa.
Jueni kumtegemea Mungu ili awakutanishe na wale mnaowataka. Kuweni wavumilivu, jitambueni, acheni kujaribu katika mambo haya, Tulieni kina kaka mtatuona tu ha ha ha ha, mtatuona tusiopenda pesa,na mavyeo na magari, yani hivo ni added advantage. Tunaangalia Utuuu jamani.
Mamushka nimekumiss balaa
Formerly it was PIPO ARE LOVED and THINGS ARE USED
Today opposite is true
In my experience, most women are still depending on men in most desicions about relationship life. That is to say they still want to see a man as a prime gender in a relationship life, the gender to lead also woman's life. Thats why they cant date men who are city bus conductors and similar men.
They actually want a man who is already in a good life status and after knowing status of a particular man then she's ready to commit to love
First line,i think to some extent we have changed jamani CPU.....city conductors have wives too,i know three of them are married just that they do not marry a woman who has a better status than them....l.o.l
When a woman loves a status of a man we do not say she is committed to love.....she is simply enjoying the benefits of the status and that why most of them are not very loyal to their husbands........look at the case of Mugabe's wife.......:coffee:
off topic.....l.o.l
Nice post very analytical naweza kuongezea kidogo tu, wasichana wengi wanababaika na magari wanapewa magari lakini card original wanashikilia wanaume zao. Napenda kuwaasa kina dada muwe makini na kuangalia vitu muhimu ambavyo vitakusaidia maishani. Hata kama ikitkea bahati mbaya mkaachana basi hutakuwa kwenye nafasi ya kupoteza. Hivi mkiachana akikuachia gari utaihudumiaje? service na mafuta! Je pesa za kukununulia gari angekusomeshea hutabaki na eli yako? kama huna nafasi ya kusoma je ungetumia hizo pesa kutafuta kiwanja au gofu hautakuja kusaidiwa na hicho kiwanja au gofu? FIKIRINI na MTAFAKARI