Wanawake na mabinti 16 Mbaroni kwa Kuhamasisha Ukahaba wapo wanaocheza "Kibao Kata"

Wanawake na mabinti 16 Mbaroni kwa Kuhamasisha Ukahaba wapo wanaocheza "Kibao Kata"

Noma sana!
Nakumbuka mwaka jana nilimtembelea rafiki yangu Buza,kuna ukumbi ukitoa buku unachovya kidole kimoja..elfu kumi unachovya vidole kumi mpaka mkono unaloa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mbna bungeni wanakata viuno na kuruka sarakasi, hii serikali vipi kwan?
Tuandamane tu kupinga hao warembo kukamatwa, tushinikize waliokata uno na kucheza sarakasi bungeni hao ndio wakamatwe maana wanatumia vibaya kodi zetu.
 
Hii nchi imekuwa sio huru tena yaani mtu akate viuno akamatwe ila wanaoiba wanatesa uraiani
Kweli mkuu kwanza wamevunja sheria gani?,jeshi la police linafanya kazi kimihemko, mfano mwingine ni wa Ashura na yule Diwani ule ulikua ni unafiki wa police, sheria gani imevunjwa pale?,je kulikua na docket police?
 
Back
Top Bottom