Noma sana!
Nakumbuka mwaka jana nilimtembelea rafiki yangu Buza,kuna ukumbi ukitoa buku unachovya kidole kimoja..elfu kumi unachovya vidole kumi mpaka mkono unaloa
Tuandamane tu kupinga hao warembo kukamatwa, tushinikize waliokata uno na kucheza sarakasi bungeni hao ndio wakamatwe maana wanatumia vibaya kodi zetu.
Kweli mkuu kwanza wamevunja sheria gani?,jeshi la police linafanya kazi kimihemko, mfano mwingine ni wa Ashura na yule Diwani ule ulikua ni unafiki wa police, sheria gani imevunjwa pale?,je kulikua na docket police?