Wanawake na magroup ya WhatsApp

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Unakuta kuna group la whatsapp mchanganyiko wanaume na wanawake,hilo group dhamira yake ni kuburudisha namaanisha video za kuchekesha,kuhuzunisha,ushauri,habari ,

Kitu nachoshangaa ni kwamba unakuta mdada anarusha picha zake hata kumi kwa siku moja na hapo kila mara lazima arushe hivi ni kwamba wanawake wanapenda sana kusifiwa au wapate attention flan hivi afatwe inbox atongozwe au? Basi kama kuna mtu umemuelewa mle ndani si unamfata inbox jamani u akuwa unamrushia sana tu picha zako ,,kwanini ujirushe kila saa hivi kweli hata wanaume wenye wapenzi wenu siku moja unaona mpenzi wako anaweka picha zake mara kwa mara kwenye magroup ya whatsapp unamfikiriaje?au ndio tuseme usingle unasumbua wanatafuta kwa nguvu zote kwa ambao wapo single,haiwezekani tu ujirushe rushe picha zako kwa watu ambao hawakujui ,wanawake sifa zitatuua jamani na hivi wanaume wanajua tunapenda sifa sasa ndio wanapitia hapo,,haya magroup yana vituko sana aisee
Nimejiuliza tu nyie magroup yenu vepee huko
 
Biashara matangazo mama
Yaan acha tu hao wadada siwajui lakin mpaka nimewakariri aisee kila nikifuta naona pic zao nikionana nao njiani sitopata tabu kuwajua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…