Wanawake na magroup ya WhatsApp

Wanawake na magroup ya WhatsApp

Nilikuwa nayo kazaa ila kwa sasa nimefuta WhatsApp yenyewe kuna wadada wa tabata aisee mpaka kero na sinza wengine ni wa magomeni na kinondoni ni fujo tu
Walikuwa wanafanyaje
 
Isingekua group la kazini nahisi nisingekua na group lenye mchanganyiko wa jinsia!!

Magroup ya watu waliosoma pamoja shule ya msingi, sekondari na vyuo mengi naona yanapelekea watu kufanya uhuni tu

Utajiunga vipi kwenye group la watu uliosoma nao primary au o level?
 
nilikumiss dada angu..... wanawake wengi wanapenda attention....

yani akiwa sehemu yenye mchanganyiko na wanaume na asipotongozwa anaona kama kuna kitu kinamiss kwahyo atautafuta mtongozo kwa hali na mali

hadi huwa najiuliza hivi wanawake wanajipima uzuri kwa idadi ya mitongozo au
 
Back
Top Bottom