Wanawake na magroup ya WhatsApp

Wanawake na magroup ya WhatsApp

Nina euro 10000 sijaitumia ..

Tumpe kama advance ...

Huyo da vinci tumpe car washing..na shoe polishin

Ila mkuu nna njaa kinoma nimesahau credit home unaweza nisaidia dola mia nchukue vitumbua viwili hapa cafe
Hizo Cafe za vvichochoroni utapata kipindupindu dogo nenda pale Kilimanjaro Kempinski nakuja kulipa
 
Grp la Michezo lakini wao wanafanya la Mitongozo.
Sisi tunajadili perfomance ya Martial mech tano mfululizo kufunga anakuja kurupia picha zake tano mfululizo huku kabinuka.
Yan wadada full kero mpaka unatongoza kila dada kama kuku tu anapanda bila kuomba.
Hahahahaha ndicho nakisema hapa
 
Inashangaza sana aisee mtu anarusha tu mipicha yake sijui nani kasema anaitaka. Pia kuna wale wa 'samahani nimekosea kuna sehemu nilikuwa narusha'
 
Wanauhuru na maisha yao ...waache tu watume ..yakiwakuta yakuwakuta yanawakuta wao
 
Mbaya zaidi wengine ni wake za watu...hv nyie wanawake mna nn hasa kinachowasumbua ???
Kuna mmoja alikuwa anapenda huyo kurusha picha halafu na mumewe yupo kwenye grouo nikawa najisemea wanawake wengine wamebahatika kupata wanaume waelewa..
 
Back
Top Bottom