Wanawake na magroup ya WhatsApp

Wanawake na magroup ya WhatsApp

Acha zako wewe... mi yamenisaidia kuwatafuma mademu kibao nliotaka kuwatafuna enzi hizo lakini nikashindwa sababu ya ukata...
Unaona sasa ...mara get together sijui wapi mimi hapana aisee ila la Sekondari nililipenda kitu kimoja hakuna michango ya harusi, msiba wala sherehe yoyote wao kama mchango basi wanataka kufanya party.
 
Mi nafurahia video za vichekesho,habari ,,sasa watu wakirusha sura zao wananichosha kila saa kuwafuta
Set whatsapp yako isiwe ina save mapicha na video automatically.

Mpaka uchague kitu cha kusave.
La sivyo utakoma kila saa gallery's imejaa mapicha ya ajabu.
 
Unaona sasa ...mara get together sijui wapi mimi hapana aisee ila la Sekondari nililipenda kitu kimoja hakuna michango ya harusi, msiba wala sherehe yoyote wao kama mchango basi wanataka kufanya party.
Huko hujakutana na Ex wako?
 
Acha warushe kwetu wanaume ni burudani, kama vip uwe unazitupia kwenye uzi wa kutupia pcha za madem wakare
 
Kila mtu hufanya anachokipenda.

Kuna tofauti gani na yule anaepost picha insta kila akijikuna?

Pia tuseme huyo anatangaza biashara.

Ni mapenzi tu ya mtu.
 
Back
Top Bottom