Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #121
Zamani niliokota kokoto hatimae nimeokota dhahabuHahahaha, maandishi tu yanaonesha hivyo,hongera Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani niliokota kokoto hatimae nimeokota dhahabuHahahaha, maandishi tu yanaonesha hivyo,hongera Sana
Unaona sasa ...mara get together sijui wapi mimi hapana aisee ila la Sekondari nililipenda kitu kimoja hakuna michango ya harusi, msiba wala sherehe yoyote wao kama mchango basi wanataka kufanya party.Acha zako wewe... mi yamenisaidia kuwatafuma mademu kibao nliotaka kuwatafuna enzi hizo lakini nikashindwa sababu ya ukata...
Set whatsapp yako isiwe ina save mapicha na video automatically.Mi nafurahia video za vichekesho,habari ,,sasa watu wakirusha sura zao wananichosha kila saa kuwafuta
Hahahaha, Hahahaha ,asee ,nimekuelewa sasa,nimekuelewa vzr SanaZamani niliokota kokoto hatimae nimeokota dhahabu
🙆🏽♂️🙆🏽♂️maajabu ya humu sasa kuna wanawake watajidai hawana magrupu
Hahahaha, Hahahaha ,asee ,nimekuelewa sasa,nimekuelewa vzr Sana
Huko hujakutana na Ex wako?Unaona sasa ...mara get together sijui wapi mimi hapana aisee ila la Sekondari nililipenda kitu kimoja hakuna michango ya harusi, msiba wala sherehe yoyote wao kama mchango basi wanataka kufanya party.
Mimi Sina group hata moja na Huwa siyapendi kabisa
Haha haha haha!!Mmmh hilo neno nikiliona nawaza basata
Halafu wanaziedit wanaume wanasifiaje!!
Mmmh magroup haya!
Hahahaha, unastahili kudekezwa,huwa ni raha kumdekeza mtoto wa kikeNadekezwaaa
hii sasa interview ha ha ha ha sikuwahi kudate mtu mwanafunzi mwenzanguHuko hujakutana na Ex wako?
Walikuwa hawakutongozi au ulikuwa unawapiga vibuti?hii sasa interview ha ha ha ha sikuwahi kudate mtu mwanafunzi mwenzangu
Ila babu maswali yako🤣🤣🤣 nilikua nawapiga vibutiWalikuwa hawakutongozi au ulikuwa unawapiga vibuti?