Mikwara Ya Andunje
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 391
- 804
Tumwajiri kitengo cha mapishi tuHuyu mam sabrina tumsaidiaje ..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumwajiri kitengo cha mapishi tuHuyu mam sabrina tumsaidiaje ..?
Hata mimi maskini umesikia wapi kuwa natafuta?Kwani mwanaume mwenye pesa utafutaga wabawake?
Nina euro 10000 sijaitumia ..Tumwajiri kitengo cha mapishi tu
Hizo Cafe za vvichochoroni utapata kipindupindu dogo nenda pale Kilimanjaro Kempinski nakuja kulipaNina euro 10000 sijaitumia ..
Tumpe kama advance ...
Huyo da vinci tumpe car washing..na shoe polishin
Ila mkuu nna njaa kinoma nimesahau credit home unaweza nisaidia dola mia nchukue vitumbua viwili hapa cafe
Kumbe naongea na maskini basi vungaHata mimi maskini umesikia wapi kuwa natafuta?
Nimefika ...Hizo Cafe za vvichochoroni utapata kipindupindu dogo nenda pale Kilimanjaro Kempinski nakuja kulipa
Hahahahaha ndicho nakisema hapaGrp la Michezo lakini wao wanafanya la Mitongozo.
Sisi tunajadili perfomance ya Martial mech tano mfululizo kufunga anakuja kurupia picha zake tano mfululizo huku kabinuka.
Yan wadada full kero mpaka unatongoza kila dada kama kuku tu anapanda bila kuomba.
Ukwel Sifav zitawauwa .Hahahahaha ndicho nakisema hapa
Zimerushwa zingine tenaa ahahahah nachofanya ni ku clear chat tu ,Ukwel Sifav zitawauwa .
[emoji23][emoji3][emoji3]Zimerushwa zingine tenaa ahahahah nachofanya ni ku clear chat tu ,
HahahahaZimerushwa zingine tenaa ahahahah nachofanya ni ku clear chat tu ,
Utoto tuNi kawaida mtu kurusha picha zake nyingi ,ili iweje?
Ana kazi sana aisee hahaHahahaha
Acha tu[emoji23][emoji3][emoji3]
Hahahaha,ila si anavutia? Acha ajiachieAna kazi sana aisee haha
Kawaida tu naonaHahahaha,ila si anavutia? Acha ajiachie
Kawaida tu naona
Kuna mmoja alikuwa anapenda huyo kurusha picha halafu na mumewe yupo kwenye grouo nikawa najisemea wanawake wengine wamebahatika kupata wanaume waelewa..Mbaya zaidi wengine ni wake za watu...hv nyie wanawake mna nn hasa kinachowasumbua ???