Darlingtone
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 390
- 146
Dada zangu wameonewa kiasi cha kutosha
Dada zangu wamedhalilishwa kiasi cha kutosha
Dada zangu wamenyanyaswa vya kutosha.
Yooote wamevumilia, wamesamehe na kusahau.
Nikadhani yameishia hapo.
Sasa wanaanza kutukanwa matusi yasiyosemekana.
Mungu na amlaani mtu atukanaye na kudhalilisha wanawake (wakisahau hata mama, dada, na watoto zao ni wanawake)
Wote wanaowapenda, kuwajali na kuwathamini wanawake kama nifanyavyo mimi waseme AMINA!

Babu huna hang'over leo?? Asante kwa kututetea
kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.
Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.
hivi hujajiuliza kwann wanawake wako wote wametoa mimba zako? Ww utakuwa ndo kiini cha tatizo. Inabidi ujifanyie tathmini ili ujirekebishe kama inawezekana.
Eeh,nikishasema nimetoa mimba itakusaidia nn wewe kama ww? Watu wengine bwanaaa,aaaghhh!!!
Au nimwombee laana kwa Mungu, baioloji yake isizi, na kitoa uchafu kitekenye mpaka atakapowaomba razi wanawake........akipata mimba babu ntamzalisha kwa operesheni!
Kuna mwanaume aliyeweza zuia mimba umu ndan ?
Km yupo ajitokeze....
Shida yao wanacho niuzi hawataki kuwa wakweli. mimba wanatoa halafu ukiwauliza wote wanajifanya hawajawahi kutoa.
Shida yao wanacho niuzi hawataki kuwa wakweli. mimba wanatoa halafu ukiwauliza wote wanajifanya hawajawahi kutoa.
Nipo hapa luv....saintly..
watu kama hao hata hizo mimba anazosema wala siyo zake. Isikusumbue ndugu yangu!
Nenda marie stopes mwenge pale utakuta msululu wa akina mama masista du wanafunzi ndo usiseme eti wenyewe waita kusafishwa tehe
Mtu mzima haulizi shimo liko wapi. bahati mbaya mimi siyo mtoto wa mjini na hamna sharobaro yoyote ninae ruhusu kavu kavu.
Kama nitashika mimba sijatarajia inawezekana nikatoa.
Nenda marie stopes mwenge pale utakuta msululu wa akina mama masista du wanafunzi ndo usiseme eti wenyewe waita kusafishwa tehe
Nipo hapa luv....saintly..
Hivi ukikuta machangudoa wamejaa mahali fulani ....inaweza ikakufanya ukaja kubandika crap ya wanawake wengi ni machangudoa?
Hivi ukikuta machangudoa wamejaa mahali fulani ....inaweza ikakufanya ukaja kubandika crap ya wanawake wengi ni machangudoa?
Msururu haiwezi kumaanisha WOTE.
Na hapa ndipo babu anapokasirikaga. WOTE wa mjini.....that includes your wife/girlfriend you know?