I don't know what makes you so stupid, but it really works!
Mimi nimewahi kutoa..........tuwe wakweli kwako,sisi ni mademu/dada zako/mama zako zako????umetuzaa,unatulisha,unatusomesha,unatuvalisha,au wewe ni Mungu tuje kwako tutubu???
Unajua kwanini wanawake wanatoa mimba,si kila mtu ni kama hao machangudoa wako,wengine wanakuwa na fibroids,kabla ya mimba kuharibika wanashauriwa watoe,wengine ni kwa ajili ya kukosa namna ya kuwatunza wakizaliwa kutokana na ma-sperm donors kama wewe,ku-donate then wanakimbia,wengine ni waathirika wa magonjwa ya zinaa na vizazi,unashauriwa toa kwakuwa mtoto atazaliwa na hitilafu au naye ameathirika,wengine walibakwa na wanaume kama wewe usiyejali hisia za wenzio........Unafikiri kuna mwanamke ukiacha hao wa kwako wanaoona sifa hata kukuadisia,anapenda kupanua miguu yake atolewe mimba,nani asingependa kuzaa malaika wake? au nani anapenda kumeza ma vidonge ambayo yanaweza muua bila kuwa na sababu????
Unasema tunakuudhi kwa kutosema ukweli,unafikiri ni si tuna sifa za kijinga kama hao waliokuhadithia??
Get a life,man up!!!