Wanawake na mambo ya kutoa mimba

Wanawake na mambo ya kutoa mimba

Thats my boy!

Kwamba ukiona wanaume wamejaa kanisani, utasema wanaume WOTE ni wakristo? This is not crap aisee, ni crapiest! VERY VERY LOW INDEED!
ivi uyu mwenye i post anaitaj MAKWENZ AU NGUMI?
yey akimwona shoga mmoja basi anaconclude WANAUME WOOOOOTE MASHOGA...thnking capacity fup km kimin cha mwajuma
 
ennh mpennz jaman leo unanikosha...basi leo tangulia pale pale pa siku zote ntalipia mimi kila k2....!!!!

:love::love::love::love:...
Namtelekeza mkoloni sasa hivi.....that offer is vere vere...:love::love::love:
 
ivi uyu mwenye i post anaitaj MAKWENZ AU NGUMI?
yey akimwona shoga mmoja basi anaconclude WANAUME WOOOOOTE MASHOGA...thnking capacity fup km kimin cha mwajuma

Hahahaha! Huyu ni wa makwenzi...ngumi jiwe utaua!
 
na akiona wafungwa gerezani basi unasema watu wote/wengi ni wafungwa.....
Vere vere crapiest.....
*Wondering ni lini tutaacha kubandika mambo yenye uelekeo wa kuumiza hisia za watu...!

Sure asee!
yaani from nowhere unakuja na miakili iliyochakachuliwa unawatukana watui kwa ujumla wao....CRAPIEST!
 
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.

Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.

kweli wewe blue balaa 100+!
 
Mtu mzima haulizi shimo liko wapi. bahati mbaya mimi siyo mtoto wa mjini na hamna sharobaro yoyote ninae ruhusu kavu kavu.
Kama nitashika mimba sijatarajia inawezekana nikatoa.[/QUOTE

Mapenesheeee je, Dry?
 
Sure asee!
yaani from nowhere unakuja na miakili iliyochakachuliwa unawatukana watui kwa ujumla wao....CRAPIEST!

Huyo mtoa mada angefikiria hisia za wengine (kwa hili wanawake) basi angetengeneza thredi yake vizuri....iakaondoa kauli za kutukana kijumla....
Yes, kuna wanawake wanatoa mimba...tena toka enzi na enzi....ila haiafanyi wanawake wote ni wauwaji watoa mimba...
 
Nenda marie stopes mwenge pale utakuta msululu wa akina mama masista du wanafunzi ndo usiseme eti wenyewe waita kusafishwa tehe

Hii sehemu bana Chimunguru pameishakuwa biashara huria kabisa hapo
 
Huyo mtoa mada angefikiria hisia za wengine (kwa hili wanawake) basi angetengeneza thredi yake vizuri....iakaondoa kauli za kutukana kijumla....
Yes, kuna wanawake wanatoa mimba...tena toka enzi na enzi....ila haiafanyi wanawake wote ni wauwaji watoa mimba...

Ameshalijua hilo ndo maana ameikimbia thread yake mwenyewe!
 
ivi uyu mwenye i post anaitaj MAKWENZ AU NGUMI?
yey akimwona shoga mmoja basi anaconclude WANAUME WOOOOOTE MASHOGA...thnking capacity fup km kimin cha mwajuma

na akiwaona wawili wenye mabusha atasema wanaume wote wana mabusha. Lol!
Mbona una balaa we blue.
 
Shida yao wanacho niuzi hawataki kuwa wakweli. mimba wanatoa halafu ukiwauliza wote wanajifanya hawajawahi kutoa.

I don't know what makes you so stupid, but it really works!

Mimi nimewahi kutoa..........tuwe wakweli kwako,sisi ni mademu/dada zako/mama zako zako????umetuzaa,unatulisha,unatusomesha,unatuvalisha,au wewe ni Mungu tuje kwako tutubu???
Unajua kwanini wanawake wanatoa mimba,si kila mtu ni kama hao machangudoa wako,wengine wanakuwa na fibroids,kabla ya mimba kuharibika wanashauriwa watoe,wengine ni kwa ajili ya kukosa namna ya kuwatunza wakizaliwa kutokana na ma-sperm donors kama wewe,ku-donate then wanakimbia,wengine ni waathirika wa magonjwa ya zinaa na vizazi,unashauriwa toa kwakuwa mtoto atazaliwa na hitilafu au naye ameathirika,wengine walibakwa na wanaume kama wewe usiyejali hisia za wenzio........Unafikiri kuna mwanamke ukiacha hao wa kwako wanaoona sifa hata kukuadisia,anapenda kupanua miguu yake atolewe mimba,nani asingependa kuzaa malaika wake? au nani anapenda kumeza ma vidonge ambayo yanaweza muua bila kuwa na sababu????

Unasema tunakuudhi kwa kutosema ukweli,unafikiri ni si tuna sifa za kijinga kama hao waliokuhadithia??

Get a life,man up!!!
 
BB barua zako umezipata,mbona hujibu?
 
BB barua zako umezipata,mbona hujibu?

haaaa we mchokoz jaman...haha hahaa !!!!!!1
kajilaptop kake kamekolaps ....aya madongo mchezo?
ataenda kujipanga nxt tym asije na upupu wake apa
 
achana na misukule mama!!!!
 
:love::love::love::love:...
Namtelekeza mkoloni sasa hivi.....that offer is vere vere...:love::love::love:

sawa!!!1
ila usisahau kuniletea zile dola mia5 ulizonihaid sweeeetie ..lov u jaman mweeeeeee..usisahau $!!!!!!
 
haaaa we mchokoz jaman...haha hahaa !!!!!!1
kajilaptop kake kamekolaps ....aya madongo mchezo?
ataenda kujipanga nxt tym asije na upupu wake apa

Nadhani anajipanga maana amepata ya kutosha
 
na akiona wafungwa gerezani basi unasema watu wote/wengi ni wafungwa.....
Vere vere crapiest.....
*Wondering ni lini tutaacha kubandika mambo yenye uelekeo wa kuumiza hisia za watu...!

Thx for thinking that big,,napanda mlimani kwa ajili yako saint na Aspro
 
Hivi hapa mnadisikasi nini ma greti thinkaz?

Achaneni na huyu Greta sinker................ashazama kitambo
 
Back
Top Bottom