MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
hiyo saluni ya uchochoroni sana wanatumia super glue ..ni hatari sana...hata hivo hizi kope sio kabisa kuanzia kuweka hadi kutoa ni matatizo ..mi nilishaapa sitaweka teeeena vitu hivi!!
Ukienda salon iwe ya uswahilini au iwe ya kishua usikubali kufanyiwa huduma yoyote bila ya kumuhoji staff anayetaka kukuhudumia kuhusiana na huduma unayotaka kufanyiwa (kuwa mtu wa kuhoji kwani urembo ni gharama na usipokuwa makini utajikuta unapata matatizo kama ya huyu dada)
By the way usithubutu kuwekwa kope chini ya kope yako original bali kope fake inawekwa juu ya kope yako original