MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
hiyo saluni ya uchochoroni sana wanatumia super glue ..ni hatari sana...hata hivo hizi kope sio kabisa kuanzia kuweka hadi kutoa ni matatizo ..mi nilishaapa sitaweka teeeena vitu hivi!!
Pole yake.....Ah mim na hayo mavitu mbalimbali...
Siyo salon zote wanafanya makosa kama hayo ila ni baadhi tu ya salon.Na iwe fundisho kwa wengine wote.
ishu hapa ni ignorance zaidi
sawa na wale wanatengeneza mkorogo huku hawajui ni sumu gani wanazi changanya
I like natural beauty. ninapowaona waliojiremba hayo mavitu huwa nawaona kama katuni/sanamu vile. wacha watu wanione mimi ni old school lakini uzuri wa dukani siupendi na una gharama zake za kiafya. hii ni mojawapo.
Pole sana. Wala simlaum ni urembo kama ulivyo urembo mwingine.
Ukienda salon iwe ya uswahilini au iwe ya kishua usikubali kufanyiwa huduma yoyote bila ya kumuhoji staff anayetaka kukuhudumia kuhusiana na huduma unayotaka kufanyiwa (kuwa mtu wa kuhoji kwani urembo ni gharama na usipokuwa makini utajikuta unapata matatizo kama ya huyu dada)
By the way usithubutu kuwekwa kope chini ya kope yako original bali kope fake inawekwa juu ya kope yako original
Hapana usifanye hivyo…huyu dada yetu alikosea tu njia na akapita njia yenye simba 100 alafu wenye jaa kali.
Ukitaka kuweka kope tafuta salon mzuri na yenye kufanya beauty clinic iliyo bora na siyo bora huduma
Bado wapaka asali kwenye k ngoja zifunge sijui wataishije mjini
Wengine wamejifunza kupitia kwenye salon za kiprofesional,wengine wamesomea kwenye vyuo vya urembo vilivyopo hapa Dar…na sasa kuna baadhi ya wamarekani weusi(wadada) wametokea marekani na wanazunguka kwenye salon kubwa kubwa na wanafundisha jinsi ya kuweka kope na vitu kama hivyo.Wabongo kope wamezijulia wapi
Bado wapaka asali kwenye k ngoja zifunge sijui wataishije mjini
najivunia kuwa na mpenzi asiyeendekeza huu upuuzi,..
Hii mpya sasa....
Kuwa natural raha sana hawajui tu
.
Ni kweli asali ni dawa ya nywele pia. Lakini je unachanganya na nini kabla ya kuiapry kichwani? Na je ni ya nyuki wakubwa au wadogo?Kwi kwi kwi.....
Tumekusikia...mie asali napaka hadi kwenye nywele kama steaming inanisaidia sana kwa nywele zangu kuwa laini zenye afya na zenye mng, aro.