Heheheee yumo kwenye kinara naona mabinti zako Cantalisia na King'asti ndio wastaarabu sana ndio maana nimevutiwa na King'astiKumbe sweetlady naye yumo eh..................
Teh Teh hapo unataka kuibua ugomvi wa hao wenye vyasoro na wadada wenyewe na wanayyojua kuongea bila break lolNikiwajua nitawaanika hapa kwamba wana kasoro...................................
Kwa mujibu wa dada zetu
Kama huna kazi mkuu, basi wewe una kasoro..................!
King'asti ana umbea wa chini chini we acha tu...........Heheheee yumo kwenye kinara naona mabinti zako Cantalisia na King'asti ndio wastaarabu sana ndio maana nimevutiwa na King'asti
Hahahaaa wanajua waoKuna wale wanaoonekana humu JF muda wote, sio kwamba ndio hao wanaodaiwa kwamba wana kasoro............., kazi wanafanya saa ngapi?
Si mnataka usawa?hata sisi tusipokuwa na kazi huwa hamtutaki siku hizi......mnataka mtone matawi ya juu mjifanye mmekufa.....kumbe hata kuzimia hamuwezi.......nyoooooooo.....tumestuka.......
Heheheee si ndio poa walau ujisaidie hela za kwenda salun kupigia umbea Pretahata sisi tusipokuwa na kazi huwa hamtutaki siku hizi......mnataka mtone matawi ya juu mjifanye mmekufa.....kumbe hata kuzimia hamuwezi.......nyoooooooo.....tumestuka.......
Umeona eeehSi mnataka usawa?
Lakini sie hatuwapi majina ya kebehi hata kama hamna kazi....
Mmezidi bana.
Heheheeeee unanitega eeeh?Kwani ma Mods wana ID ngapi?
Sasa kukosa kazi ndio iitwe kasoro!
Mimi najua mtu kuwa na kasoro ni kuwa na upungufu wa viungo...........
Mna visa nyie
Haya musee osha vyombo kwanza heheeeeHebu ngoja nimsaidie mama Ngina kazi za hapa nyumbani nisije nikaambiwa nina kasoro bure....................LOL
Hapo ndio umemaliza mkuuSi unajua ndo factor mojawapo wanawake wa siku hizi wanazikonsida wakidhani ndo maisha yao yatakuwa ya starehe kumbe kumbe ni subsijury tu, upendo, ushirikiano na amani ndicho muhimu kuliko vyote!
Haya musee osha vyombo kwanza heheeee
Msalimie sana Mama Ngina wetu
Hahahahahahahahaaaaaaa aisee lolHizi Tamthilia za majuu, zinawapa kibri wake zetu, maana usipomsaidia kazi, utaambiwa mbona kwenye tamthilia wanaume wenzio wanafanya hivi au vile..........
Tunaiga uzungu, tuna kazi kweli............