Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Natamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo wanaume tunachukia kutika kwao ni nywele bandia, asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili
Ikiwa sisi hatuvutiwi na miwigi yenu mwavaa kumvutia nani?
NDEVU ZINAPACHIKWA AU ZINAVALIWA? Mmh 😔!!Hiiiiii....tunavaa kujivutia wenyewe,.nyie mnavofuga midevu yenu kama Osama bin Laden mnawavutia nani??
NA MIMI...Unachekesha kweli, unamsemea na nani?
Uko unachezea nywele Za mwanamke unangoja alainike, Kumbe unachezea wigi! [emoji23][emoji23][emoji23]
halafu bora hilo wigi liwe la mtu aliyekufa juzi juzi, sa utakutana na wigi la mtu aliyekufa miaka ya 1700
Aliyekwambia tunawavutia nyie ni nani
Weka zako natural inatosha
Mkuu, sio tu nyewele za kibandia ambayo zinatuchukiza. Kuna makalio ya kichina, matiti ya kibrazil, ngozi za kijerumani, zote zinatuchukiza! Yaani karibi robo-tatu ya mwanamke ni feki!!!!
[emoji28][emoji28][emoji28] wewe ndio mwakilishi wa wanaume dunia Hii!!
Urembo wa mwanamke ni kuvuta wanaume sasa mjue hatuvutiwi nywele za maiti wala nywele za mkonge
Sema wewe huvutiwi usiseme sisi