Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
SAWA LOVEFanya hima tafadhali😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAWA LOVEFanya hima tafadhali😀
Unachekesha kweli, unamsemea na nani?
Ni naturalHiiiiii....tunavaa kujivutia wenyewe,.nyie mnavofuga midevu yenu kama Osama bin Laden mnawavutia nani??
Zipo ndevu bandia...
Hili wigi lako litakuwa la marehemu wa kihindi!Aliyekwambia tunawavutia nyie ni nani
Weka zako natural inatosha
Hahaaa .... jinga kweliHiiiiii....tunavaa kujivutia wenyewe,.nyie mnavofuga midevu yenu kama Osama bin Laden mnawavutia nani??
HahaaUko unachezea nywele Za mwanamke unangoja alainike, Kumbe unachezea wigi! [emoji23][emoji23][emoji23]
Pyeeeeee😝😝