Wanawake na nywele bandia

Utakuwa jasiri zaidi ukibaki natural
Yaani niende saluni nawaza kumvuta mtu?
Chaaa hapana labda hao wa kwako

Mie napenda niwe smart inanipa ujasiri hata kwenye mihangaiko yangu
 
usisemee wenzio mkuu wapo ME wanaopenda hizo nywele za marehemu
 
Pindi network inapokata halafu wanaanza kugonga kichwa mpaka irudi
Huwa natamani niwape rungu kabisa
 
Natamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo wanaume tunachukia kutika kwao ni nywele bandia, asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili
Ikiwa sisi hatuvutiwi na miwigi yenu mwavaa kumvutia nani?
Kuna tatizo kwenye uwasilishaji, kuna sehemu unasema "wanaume tunachukia" halafu unasema tena "asilimia kubwa ya wanaume".
Hueleweki mkuu, unasema wanaume wote au asilimia fulani ya wanaume!?
Rekebisha hapo kisha tutiririke na michango yetu mujarabu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…