Wanawake na promise zao

Sasa kwani muda huo anaojiandaa huwa dharura imeshatokea Mkuu?
Sasa mkuu mtu anajiandaa toka saa 6 hadi saa 12 ndio anapata dharura huko kujiandaa anakua kama anaenda vitani
 
Nikweli lakini vijana maandalizi yao huwa makubwa sana unakuta na gharama kishaingia kununua baadhi ya mahitaji kwaajiri ya ujio wa mtoto...
Hahaaa. Mchukulie ni kama ajali tu sasa rafiki sababu huwa haina kinga.
 
Sasa mkuu mtu anajiandaa toka saa 6 hadi saa 12 ndio anapata dharura huko kujiandaa anakua kama anaenda vitani
Hamnaga mtu mwenye maandalizi ya muda mrefu kiasi hicho Mkuu na ukiona hivyo jua umeanza kudanganywa tokea hiyo saa 6.
 
Alafu hapo unakuta umejikoki kinoma kama geto usafi umepiga wa kufa mtu [emoji23][emoji23][emoji23]....

Kwali wanaume tumeumbwa mateso [emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huoni kama imekuwa faida kwako?? Hukuwa na ratiba ya kulifanyia getto lako usafi wa kufa mtu kwa siku hiyo.
 
Ukiona hivyo ujue wewe ni bahili ndiyo maana anaona hakuna hasara hata akihairisha...

Ukiwa ni mtu wa kujiongeza, na huduma za hapa na pale, message utakazopata ni nipo getini kwako hapa, nilikua napita nimeona nije kukusalimia...

Cc: mahondaw
 
utani wa ngumi huo smart wangu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I'm not feeling well smart ngoja nijilaze kidogo tehtehteh wakati huo ni jumamosi saa nne usiku hio tihtihtih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huoni kama imekuwa faida kwako?? Hukuwa na ratiba ya kulifanyia getto lako usafi wa kufa mtu kwa siku hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]...

Mtoto akishasema hawezi kuja hapo usafi unahesabika kama ni usumbufu...
 
Appointment
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mungu anawaona !!
dah[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mimi appointment waiting ni one hr maximum iwe kwa mwanamke au mwanamke ukizidisha hapo huwezi nikuta[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikuwa na binti mmoja tu ambaye amenipa changamoto kalibu zote ninazoziona jf na kwenye movie, yaani kila idara yuko fit, uongo, 6kwa6, usafi, hawa viumbe basi tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kwa hasira unavuruga vuruga vitu.
Ili kumkomoa itabidi kufanya hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usumbufu++++
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…