Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Kweli kabisa Mkuu.Kabisa.....Mara ingine mama anatumikaga kama gia ya kukuzima mazima, manake anauhakika huwezi ku-urgue naye tena ukishaambiwa mambo ya mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Kweli kabisa Mkuu.Kabisa.....Mara ingine mama anatumikaga kama gia ya kukuzima mazima, manake anauhakika huwezi ku-urgue naye tena ukishaambiwa mambo ya mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapo anakutana na mtu kama mimi nimelala zangu nyumbani namwambia nishafika akienda namwambia nimekusubiri hadi nimechoka
asipokuja hizo lawama zake(nipo njema fani hii)
Mkuu hatari hii [emoji3]hapo anakutana na mtu kama mimi nimelala zangu nyumbani namwambia nishafika akienda namwambia nimekusubiri hadi nimechoka
asipokuja hizo lawama zake(nipo njema fani hii)
Nakataa kwa herufi kubwaUkiona hivyo ujue wewe ni bahili ndiyo maana anaona hakuna hasara hata akihairisha...
Ukiwa ni mtu wa kujiongeza, na huduma za hapa na pale, message utakazopata ni nipo getini kwako hapa, nilikua napita nimeona nije kukusalimia...
Cc: mahondaw