Hahah!! Ukute hapo mkongo unahusika kwenye viungo vya mwili ndio basi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usumbufu++++
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], Yaani unaishia kunawa tu kula huli. Aisee!Hahah!! Ukute hapo mkongo unahusika kwenye viungo vya mwili ndio basi tena
Ujana maji ya moto kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], Yaani unaishia kunawa tu kula huli. Aisee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujana maji ya moto kwakweli [emoji23]
TATIZO HAMTUPI KIPAUMBELEKwani kiuhalisia huwa hakuna dharura?
Pia inatakiwa muamini kila jambo huwa lina wakati wake na ukishaona jambo lina vikwazo jua kabisa si wakati wake huo.
MKUU YAMEKUKUTA NINI?? USINIAMBIE TUPO WENGI KUMBEAppointment
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mungu anawaona !!
Unamaanisha wanawake wa Tz pekee.Appointment
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mungu anawaona !!
Pole mkuu kwa yaliokukuta [emoji23][emoji23]Appointment
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mungu anawaona !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mkuu usinambie nawe ulijikakamua kuandaa getto halafu ukaishia kuweka mikono kichwani[emoji23]MKUU YAMEKUKUTA NINI?? USINIAMBIE TUPO WENGI KUMBE
itakua hajamaanisha Mungu huyu tunaye mwabudu maana ata alivyoiandika ni ya miungu mingine...so usipate tabu nayeUmeshaanza kunikera asubuhi asubuhi, hivi kwenye jambo kama hili lisilo na Kichwa wala miguu, unapata wapi Ujasiri wa kukitaja Jina la MUNGU?.
Acha tu yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mkuu usinambie nawe ulijikakamua kuandaa getto halafu ukaishia kuweka mikono kichwani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], basi ujue ni muongo huyo.Acha tu yaani
NATAKA NIKUALIKE KWANGU SIKU MOJA NIONE KAMA UTAKUWA MKWELI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], basi ujue ni muongo huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], sitapotea njia kweli?NATAKA NIKUALIKE KWANGU SIKU MOJA NIONE KAMA UTAKUWA MKWELI
Quite right! Na huenda saa hizo yupo kwa mtu anayempenda.Hamnaga mtu mwenye maandalizi ya muda mrefu kiasi hicho Mkuu na ukiona hivyo jua uneanza kudanganywa tokea hiyo saa 6.
Kabisa.....Mara ingine mama anatumikaga kama gia ya kukuzima mazima, manake anauhakika huwezi ku-urgue naye tena ukishaambiwa mambo ya mama.Umeonaeee. Na hiyo saa 12 anayosema sijui mama yake kamwambia apikie wageni utakuta ndio anarudi home kwao.