Wanawake na tamthilia

Wanawake na tamthilia

Tuacheeee, mimi ni shabiki namba moja wa tamthilia, wewe hata movie ya kawaida hupendi
🙌🙌🙌 sijui nipoje..nikienda hom maza naye anawapenda wahindi sijui kuna tamthilia ilikua dstv bas anafatilia huyo..ananishirikisha .nachifanya nalala hapo hapo sebulen..mm siwez kbs jaman...kwaza tv ninaona uzito tu 😒...angaliaaa
 
Mama yangu pia yupo busy na tamthilia za kihindi, Mimi sina mzuka nazo hizo.
Napenda tamthilia lkn nachagua sio zote..Kuna ambazo ukianza kuangalia huchomoki. Zinafundisha mambo mengi hamjui tu.
Movies,series za Aina zote nimo.
 
Mimi ukinikuta nachek tv ujue ni trace...music...mengine niliacha kama taarifa ya habari...hizo tamthilia mm jaman uwiii..maana zote ni full mapenzi😏..mm mapenz yananisaidia nn sasa😒😒
 
Mimi ukinikuta nachek tv ujue ni trace...music...mengine niliacha kama taarifa ya habari...hizo tamthilia mm jaman uwiii..maana zote ni full mapenzi[emoji57]..mm mapenz yananisaidia nn sasa[emoji19][emoji19]
Ni mapenzi lakini kuna story nyingine ndani yake. Kuna ambazo ni mapenzi tu ya kitoto kama zile za ki philipino siangalii.
Umeangalia Kara sevda wewe? Aisee kuna mwamba mmoja anaitwa Emir ni balaa.
Ni mapenzi lkn Kuna mambo mengine pia mbali na mapenzi unajifunza. Unafahamu tabia za watu..
 
Hahahaa wanangu esp mkubwa alikua akimia kwa tv anakuambia mama nenda youtube weka kara sevda..khaa nulikua naoma uzito nakataa...hahaa mm jaman mapenzi yangu hata nikifa msibani iwe miziki mizuri mwanzo mwisho..i lov music aise
 
Back
Top Bottom