Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwandiko wako mbona Kama na wewe jinsia hiyo hiyo tu! Kwann wanawake hampendani. Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.Hivi Kuna kitu wanawake wanakiona kwenye TAMTHILIA ambacho hatukioni.
Hasa za Maisha Magic na zile za Amerika ya kusini.
It is just too much
Jamani mie hayo madude na mimi mbingu na ardhi ..nakereka balaa kuna mabek 3 pia ....Hivi Kuna kitu wanawake wanakiona kwenye TAMTHILIA ambacho hatukioni.
Hasa za Maisha Magic na zile za Amerika ya kusini.
It is just too much
Deceiver ni shababi wewe .Mwandiko wako mbona Kama na wewe jinsia hiyo hiyo tu! Kwann wanawake hampendani. Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
Sio mwanamke...ila ww unajijuaga akili zako yaaniShababi mpenda tamthilia? Au sijaelewa?
Mie Kama Hamisi MdurumaMwandiko wako mbona Kama na wewe jinsia hiyo hiyo tu! Kwann wanawake hampendani. Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
Tuacheeee, mimi ni shabiki namba moja wa tamthilia, wewe hata movie ya kawaida hupendiJamani mie hayo madude na mimi mbingu na ardhi ..nakereka balaa kuna mabek 3 pia ....
🙌🙌🙌 sijui nipoje..nikienda hom maza naye anawapenda wahindi sijui kuna tamthilia ilikua dstv bas anafatilia huyo..ananishirikisha .nachifanya nalala hapo hapo sebulen..mm siwez kbs jaman...kwaza tv ninaona uzito tu 😒...angaliaaaTuacheeee, mimi ni shabiki namba moja wa tamthilia, wewe hata movie ya kawaida hupendi
Mama yangu pia yupo busy na tamthilia za kihindi, Mimi sina mzuka nazo hizo.🙌🙌🙌 sijui nipoje..nikienda hom maza naye anawapenda wahindi sijui kuna tamthilia ilikua dstv bas anafatilia huyo..ananishirikisha .nachifanya nalala hapo hapo sebulen..mm siwez kbs jaman...kwaza tv ninaona uzito tu 😒...angaliaaa
Mimi ukinikuta nachek tv ujue ni trace...music...mengine niliacha kama taarifa ya habari...hizo tamthilia mm jaman uwiii..maana zote ni full mapenzi😏..mm mapenz yananisaidia nn sasa😒😒Mama yangu pia yupo busy na tamthilia za kihindi, Mimi sina mzuka nazo hizo.
Napenda tamthilia lkn nachagua sio zote..Kuna ambazo ukianza kuangalia huchomoki. Zinafundisha mambo mengi hamjui tu.
Movies,series za Aina zote nimo.
Ni mapenzi lakini kuna story nyingine ndani yake. Kuna ambazo ni mapenzi tu ya kitoto kama zile za ki philipino siangalii.Mimi ukinikuta nachek tv ujue ni trace...music...mengine niliacha kama taarifa ya habari...hizo tamthilia mm jaman uwiii..maana zote ni full mapenzi[emoji57]..mm mapenz yananisaidia nn sasa[emoji19][emoji19]
Hahahaa wanangu esp mkubwa alikua akimia kwa tv anakuambia mama nenda youtube weka kara sevda..khaa nulikua naoma uzito nakataa...hahaa mm jaman mapenzi yangu hata nikifa msibani iwe miziki mizuri mwanzo mwisho..i lov music aiseNi mapenzi lakini kuna story nyingine ndani yake. Kuna ambazo ni mapenzi tu ya kitoto kama zile za ki philipino siangalii.
Umeangalia Kara sevda wewe? Aisee kuna mwamba mmoja anaitwa Emir ni balaa.
Ni mapenzi lkn Kuna mambo mengine pia mbali na mapenzi unajifunza. Unafahamu tabia za watu..
Usijali..ukifa tutapiga mziki nampa papaHahahaa wanangu esp mkubwa alikua akimia kwa tv anakuambia mama nenda youtube weka kara sevda..khaa nulikua naoma uzito nakataa...hahaa mm jaman mapenzi yangu hata nikifa msibani iwe miziki mizuri mwanzo mwisho..i lov music aise
Hahahahhaahhaahhaa.....nyoko ww🤣🤣🤣🤣!.. sio bongo fleva🙂...yaan ww unawaambia wamix tu micountry kama yote🤣...Usijali..ukifa tutapiga mziki nampa papa
😀😀 Sawa mkuuHahahahhaahhaahhaa.....nyoko ww🤣🤣🤣🤣!.. sio bongo fleva🙂...yaan ww unawaambia wamix tu micountry kama yote🤣...